Usipoteze Pesa & Muda Kuchat Bure!!!
Hauwezi ukapata matokeo mazuri kama unatuma matangazo ya instagram na Facebook halafu unaishia kupeleka wateja whatsapp/instagram/facebook inbox au kujaza form bila kuwapeleka kwanza kwenye website yako ya kuwekea orders.
Hii ndio maana unaishia kupata meseji nyingi lakini hakuna wateja wa maana. na hata kama akitokea mteja wa maana ni rahisi kumpoteza kwasababu ya kushindwa kujibu meseji zake mapema.
Ads ⮕ Website ⮕ Sales
Solution ni kuwa na automated sale engine ambayo kupitia tangazo la facebook/instagram mteja anapelekwa kwenye website ilyotengengezwa mahususi kwaajili ya kufanya anunue unachouza (kuweka order). Na mteja anaponunua hii website inarudisha feedback kwenye tangazo lako ili lizidi kuleta wateja wa aina kama huyu aliyenunua.
Faida ya automation hii ni:
- Utatumia muda wako kwenye kutekeleza order badala ya kuchat na wateja hewa
- Automation hii inafanya Facebook/Instagram Kukuletea wateja wakununua zaidi kwani wanapata live feedback ya aina ya wateja walionunua kwako .
Start Now
Usiendelee kupoteza pesa kulipia matangazo yasiyo na matokeo. Tunaweza kukufanyia automation hii sasa ukaanza kuongeza mauzo moja kwa moja. Tuna packages za aina tatu:
- Basic - Tunakutengenezea website na kukufanyia setup ili wewe mwenyewe uendelee kutuma matangazo yanayoleta oders. Bei yake 350,000
- Standard - Tunafanya kama basic na sisi wenyewe tunakutumia na kumanage tangazo, kwa biashara zenye bidhaa/huduma chache. Bei yake 500,000.
- Advanced - Tunafanya kama standard ila kwa biashara zenye huduma/bidhaa nyingi zinazohitaji e-commerce. Huduma hii inaanzia 800,000.
NB: Package zote zinajumuisha kutengenezewa website maalumu ya kupokelea orders na setup ya campaign ya tangazo